Ofisa wa Benki ya NBC kitengo cha ATM, Pendo Clement (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto Chuo cha Ufundi Stadi cha Future World, kuhusu masuala mbalimbali ya kimaisha ikiwa ni sehemu ya mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam wa kuendeleza vijana kiuchumi Dar es Salaam unaodhaminiwa na benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Gongo la Mboto nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam juzi. |